kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,421
- 18,760
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni kweli geez hajatumia ngada zaidi ya nyagi na beer ila tatizo lake ni kutokulaMkuu acha uongo bhana Geez hakutumia nasema hili mana nimeishi nae kitaa kimoja jamaa ilikua ni tungi konyagi kwa saana hii ya drugs mnamchafua tu. Rip jembe. Chief of Dirty south dawg
Labda nakosea ila iwapo mtu ametutangulia mbele ya sheria either tunamwombea RIP au tunakaa kimya. Kumkashifu aliyeondoka sio vizuri hasa pale tunapoongelea uvumi tu. [/
QUOTE]
Ni vizur! Ili watu wengine wajue madhara ya hayo yaliyomletea kifo. Tunajifunza kutokana na makoso ya waliotutangulia mbele ya haki.
mjomba jamaa ezizake alikua na makundi ya ajabu?hawa masela wakijaga town wanaishia kwenye ma group ya ovyo..wanataka kuwa wajanja kuliko wazawa..kuiga sana unyamwezini sio ujanja..ila ngoma zake za dakika sifuri na mtoto wa kiume ni soo...R.I.P
Sana.....asubuhi sana ulikuwa unamkuta kashika kiroba.....kula kwenyewe alikuwa halimjomba jamaa ezizake alikua na makundi ya ajabu?
Bado mkuuAmani kwa kaka voda milionea,waambie wanao waache poda wale mmea_Jay moe :Jipange.
Amani kwa kaka milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea_Langa kileo
Amani kwa voda milionea mwambie moe nimeacha poda na wala sili mmea_langa baada ya kuacha drugs
Ushamjua kaka voda milionea?
Asante mabinti wapenda Hip Hop wachache sanahahahaaaa
nlikua nampenda sana hasa ule msauti wake yaani acha tu
madawa yali muasili yeye na dadayake ambaye ni mwalimu kule iringa nilikua na kutana nae sana kilingeni musasani club na kwenye ma dsmya mbagaraSana.....asubuhi sana ulikuwa unamkuta kashika kiroba.....kula kwenyewe alikuwa hali
Ova
Vp pnash Yupo hao madogo nmewaleaa sana kino hapo,Sema jamaa alikuwa na kipaji sana Sema kujielewa tuali changa nyikiwa mana
madawa yali muasili yeye na dadayake ambaye ni mwalimu kule iringa nilikua na kutana nae sana kilingeni musasani club na kwenye ma dsmya mbagara
dada ake yule mrefu??? sikujua kama alikuwa anatumia unga.najua tu alikuwa konyagi nyingiali changa nyikiwa mana
madawa yali muasili yeye na dadayake ambaye ni mwalimu kule iringa nilikua na kutana nae sana kilingeni musasani club na kwenye ma dsmya mbagara