Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

Tanzia: Mwanamuziki Geez Mabovu aaga dunia

"Mabovu Makini mpaka siku narudi Ardhini" bonge la ngoma feat Mweusi Joh Makini. R.I.P Geez "Big 4 The Geez" Mabovu!
 
Mkuu acha uongo bhana Geez hakutumia nasema hili mana nimeishi nae kitaa kimoja jamaa ilikua ni tungi konyagi kwa saana hii ya drugs mnamchafua tu. Rip jembe. Chief of Dirty south dawg
ni kweli geez hajatumia ngada zaidi ya nyagi na beer ila tatizo lake ni kutokula
kino nilikuwa nakutana naye bar fulani kitambo tulikuwa naye...kweli ngada hapana
 
Mimi ni zaidi ya msanii
Mimi ni kioo cha jamii
Mimi ni mtoto wa dirty South nawakilisha fani hii
Mimi ni A we ni C
Mambo ya uzushi si fagilii
Mimi ni kamanda wa jeshi makuruta wanani tii.

Dah R. I. P Mabovu
Best collabo MiMi by Geez Mabovu ft Jay Mo, Fid Q na Chidi Benz
 
Labda nakosea ila iwapo mtu ametutangulia mbele ya sheria either tunamwombea RIP au tunakaa kimya. Kumkashifu aliyeondoka sio vizuri hasa pale tunapoongelea uvumi tu. [/
QUOTE]

Ni vizur! Ili watu wengine wajue madhara ya hayo yaliyomletea kifo. Tunajifunza kutokana na makoso ya waliotutangulia mbele ya haki.
 
hawa masela wakijaga town wanaishia kwenye ma group ya ovyo..wanataka kuwa wajanja kuliko wazawa..kuiga sana unyamwezini sio ujanja..ila ngoma zake za dakika sifuri na mtoto wa kiume ni soo...R.I.P
mjomba jamaa ezizake alikua na makundi ya ajabu?
 
Amani kwa kaka voda milionea,waambie wanao waache poda wale mmea_Jay moe :Jipange.

Amani kwa kaka milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea_Langa kileo

Amani kwa voda milionea mwambie moe nimeacha poda na wala sili mmea_langa baada ya kuacha drugs


Ushamjua kaka voda milionea?
Bado mkuu
 
Maabovu from the Dirty South Mafinga ndani ya Iringa , Rest In Peace Nigga!
 
ali changa nyikiwa mana
Sana.....asubuhi sana ulikuwa unamkuta kashika kiroba.....kula kwenyewe alikuwa hali

Ova
madawa yali muasili yeye na dadayake ambaye ni mwalimu kule iringa nilikua na kutana nae sana kilingeni musasani club na kwenye ma dsmya mbagara
 
ali changa nyikiwa mana

madawa yali muasili yeye na dadayake ambaye ni mwalimu kule iringa nilikua na kutana nae sana kilingeni musasani club na kwenye ma dsmya mbagara
Vp pnash Yupo hao madogo nmewaleaa sana kino hapo,Sema jamaa alikuwa na kipaji sana Sema kujielewa tu

Ova
 
ali changa nyikiwa mana

madawa yali muasili yeye na dadayake ambaye ni mwalimu kule iringa nilikua na kutana nae sana kilingeni musasani club na kwenye ma dsmya mbagara
dada ake yule mrefu??? sikujua kama alikuwa anatumia unga.najua tu alikuwa konyagi nyingi
 
Back
Top Bottom