Inabidi sasa tuwatafute wauzaji maana wao hawafi, wanakufa watumiaji tuuu
Amani kwa kaka voda milionea,waambie wanao waache poda wale mmea_Jay moe :Jipange.
Amani kwa kaka milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea_Langa kileo
Amani kwa voda milionea mwambie moe nimeacha poda na wala sili mmea_langa baada ya kuacha drugs
Ushamjua kaka voda milionea?
mmh we mdada, ebu njoo inbox nikuulize jambo. 🙂
kingoko ilikuwa maskani ya watoto wa mikocheni(regent) wakina langa, babuu etc ilikuwa click kubwa
kuhusu mambo ya ngada lazima baadhi yao walikuwa wanajifunza hadi kutumia kbisa
kingoo'oko bonge la chata enzi zile na tshert za king'oko
hahahaaaaaaaaaaaa
umeniua mbavu mshkaji wangu ujue
mi napenda misauti ya zege sana
Halafu mabovu na babuu wa kitaa kama wamefanana hivi!!
Amani kwa kaka voda milionea,waambie wanao waache poda wale mmea_Jay moe :Jipange.
Amani kwa kaka milionea,mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea_Langa kileo
Amani kwa voda milionea mwambie moe nimeacha poda na wala sili mmea_langa baada ya kuacha drugs
Ushamjua kaka voda milionea?
hahahaaaaaaaaaaaa
umeniua mbavu mshkaji wangu ujue
mi napenda misauti ya zege sana
tatizo la figo limemuondoa siyo ngada chief.....mimi sikubaliani kama alikuwa anatumia drugs,
umeona eeh, me pia niliikubali sana brand ya 'king'oko'. lilikuwa ni bonge la logo, lile chata limekaa kiharakati haswaa. ivi tshirt zao bado zinapatikana kweli? nilizipenda sana, pamoja na lile chata la 'KIRAKA' la East Coast kwa chizi GK
idea ilikua ya mchizi wangu langa..siku moja tupo kwenye ki contena flani mtaa wa chato regent akaitoa hiyo idea..polisi wakavuruga kikao manake bangi zilivyokua zinawashwa hatari sana..siku nyingi baadae akanipigia simu anaongea kwa hasira mtoto wa raisi kachukua idea yangu ya king'oko halafu anaifanya yake pia hawamshirikishi..ila kwa spidi ile ya bangi waliyokua nayo langa na babuu wa kitaa, sembe wasingeikwepa..
sauti ya zege ktk hiphop kabaki male marxist wa tamaduni music