TANZIA: Mwanamuziki Michael Denis (John Walker) afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki Michael Denis (John Walker) afariki dunia

Nimesoma kwenye chanzo flani cha habari kuwa John woka kafariki dunia,ni ajali au alikuwa anaumwa?,mwenye taarifa kamili atujuze,
 
MUNGU ailaze roho ya marehemu mahala pema pepopo ...

#R.I.P
 
Unique MC..
Ana style ya pekeyake hakuna mwingne aiwezaye..
 
Back
Top Bottom