Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

NGWEA, NOORAH, MEZ B, DARK MASTER. Chama linateketea tu
 
Mkuu, kuna uhusiano gani baina ya ugonjwa wa kifua na wasanii, au kwa kuwa wanatumia pumzi nyingi wakati wa kuimba ?

Kama kweli ni TB KIFUA KIKUU, kwanza tukumbuke

kinaenezwa kwa njia ya hewa hivyo ni rahisi sana

mtu kuambukizwa.

mimi nadhani kwa sababu ya misongamano ya

watu huko kwenye maukumbi wanakoenda kupiga

show.

UKIKOHOA WIKI MBILI MFULULIZO NENDA KAPIME

KIFUA KIKUU

STOP TB.
 
huyu ndio yule wa 'kikuku cha mama rodaaa..' au..? anyway R.I.P bro..
 
Taarifa zaidi alikuwa anasumbuliwa na homa ya mapafu:TB
Mara ya mwisho nilimuona Igo lounge Sinza, mwili ukiwa dhoofu na alikuwa mwenye hasira sana....sina shaka hata kidogo na hiyo "TB" :shocked:
 
Inna lillah wainna ilaih raajiuun dah tangulia brother tuko nyuma yako!Mwenyezi mungu akufanyie wepesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…