Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye majonzi hawezi wepo hapa,..
Btw. RIP.
Mkuu, kuna uhusiano gani baina ya ugonjwa wa kifua na wasanii, au kwa kuwa wanatumia pumzi nyingi wakati wa kuimba ?
Mara ya mwisho nilimuona Igo lounge Sinza, mwili ukiwa dhoofu na alikuwa mwenye hasira sana....sina shaka hata kidogo na hiyo "TB" :shocked:Taarifa zaidi alikuwa anasumbuliwa na homa ya mapafu:TB
RIP mzee wa east zoo