Taarifa kutoka Dodoma zinasema kuwa msanii wa bongo fleva Mez B amefariki dunia muda huu. Alikuwa anaumwa sana homa ya mapafu, mama yake mzazi amethibitisha habari hizi za msiba akiwa Dodoma
Ruttashobolwa kuna siku nilishasema humu wapo wachawi mkabisha haya!
daah ni kweli, bado haji noorah na kabongo athuman kabongo(darkmaster)
Wewe ndiye mchawi na mumeo zitto PambafHakika huo ni zaidi ya uchawi nimeshangaa sana!
"Watanzania wengi ni wachawi sema hawajijui"
wakali wa chemba wanaisha nafkiri kabaki darkmaster
Darkmaster nilisikia kaokoka sijui ni kweli?!