Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

Kwanza Fikiria, kabIa ya kuamua,
Usije e, kujutia uamuzi!!
 
Taarifa kutoka Dodoma zinasema kuwa msanii wa bongo fleva Mez B amefariki dunia muda huu. Alikuwa anaumwa sana homa ya mapafu, mama yake mzazi amethibitisha habari hizi za msiba akiwa Dodoma

mhhh homa ya mapafu beibee!!teh
 
Nimekubali kua wewe ni kifaaa......

Asante Mungu kwa uaminifu wako.
Mapenzi yako ni makuu zaidi
 
Jamani hutakiwi ku'like' bandiko lolote linalotoa taarifa ya Kifo. Vinginevyo utaambiwa umerukwa na utu au ulikuwa na kinyongo kikali dhidi ya mwenda zake.

R.I.P Moses.
 
Duuuh R.I.P mwana chamber kundi lina pukutika duuh kazi yake mola haina makosa!
 
...usione aibu kwani ndani tumeshafika, aha aha... sogea karibu kata kiuno tingishika aha aha ... njoo tucheze cheze kwa mapozi huku ukideka, hahahaha.... ringa ringa zungusha kiuno mtoto fika ihaaa.... basi kama vipi njoo twende tuzame deep ....
mumy leo umetoka sexy, umeng'aa na hizo pamba nyepesi

I love this song. I love Chamber Squard... hizi flavor hazitatokea tena. RIP Mez B
 
Rest in peace ma nigga Mez...dah chemba inakwisha sasa y...ngwea, geez, sasa wewe na nurah ndio hivyo tia maji Mungu amnusuru.


We gonna miss u..
 
RIP Moses

Poleni wazazi

Poleni mashabiki wa muziki

Poleni wanamuziki

MUNGU awafariji nyote
 
Dah kama kuna kuonana,wapo na Cowboy wanapiga stori. Wote njia moja,apumzike kwa amani.
 
Back
Top Bottom