Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

....Nimekubali kwamba wewe ni kifaaa uzuri wako wee umepitilizaaaa................, wengi wameumbwaaa lakini wee umeumbikaa aa nijibu hivi we ni binadamu au malaika aa,..........(Temba) maeneo ya kati sasa dah! Kama amechongwaaaa.........!
R.I.P Mez B, salam kwa Ngwear.
 
nimepokea kwa masikitiko makubwa sana habari za kifo cha Mez B.kwanza ni mwana chember squard mwenzangu imeniuma sana na hapa nilipo natokwa na machozi
raha ya milele umpe ebwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani AMINA
 
Kwanzaaa fikiria kablaaa hujaamua usije kujutia huo uamuuziii,
Kwanzaaa fikiria kablaaa hujaamua usije kujutia huo uamuuziii.........!
 
R.I.P Mez B wote njia moja ila wewe umetangulia tuu.
 
Wakuu kwa taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa aliyekuwa memba wa kundi la chamber squad mez b ameaga dunia
 
Taarifa kutoka Dodoma zinasema kuwa msanii wa bongo fleva Mez B amefariki dunia muda huu. Alikuwa anaumwa sana homa ya mapafu, mama yake mzazi amethibitisha habari hizi za msiba akiwa Dodoma

Homa Ya Mapaaaaaaaaaaaaaafu Ni Mbaya Saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana!
 
nimepokea kwa masikitiko makubwa sana habari za kifo cha Mez B.kwanza ni mwana chember squard mwenzangu imeniuma sana na hapa nilipo natokwa na machozi
raha ya milele umpe ebwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani AMINA

Mwenye majonzi hawezi wepo hapa,..

Btw. RIP.
 
Ukaribu uliopo baina ya kifo na mwanadamu ni zaidi ya umbali wa unyayo wa mguu wake na sori ya kiatu alichovaa,

Tuvichukulie vifo vya wapendwa wetu kama somo kwetu na ukumbusho kuwa hii dunia sio makazi yetu bali ni wapita njia.....mfano wa maisha ya mwanadamu hapa duniani ni sawa na msafiri aliyepo safarini aliyepumzika chini ya mti wenye kivuli huku akivuta muda ili aendelee na safari yake.

Maisha yetu ni mafupi sana kuliko tunavyofikiria na kibaya zaidi kumewekwa siri nzito baina ya kifo na uhai....kwani hakuna yoyote kati yetu hakuna ajuaye siku wala saa ya safari yake ya milele.

Ni upumbavu na ujinga kuihangaikia dunia wakati si mahala pako pa kudumu....hazina unazochuma hapa duniani hazita kusaidia lolote mbele ya muumba wako bali ile mia mbili uliyo mrushia omba omba, yule mwenye njaa uliyempa chakula akashiba na yule mwenye kiu uliyempa maji na akakata kiu yake.

Hutakuta rekodi za watu uliowapa ofa za bia , hutakuta rekodi za vimada uliowahonga magari ,hutakuta rekodi za nyumba nzuri uliokuwa ukiishi bali utakutana na vilio vya watu uliowadhulumu haki zao, utakutana na vilio vya watu uliowaweka misukule ili upate mali....utakutana vilio vya mayatima uliowadhulumu haki zao.

Utakutana na vilio vya watu uliwachukulia wake zao au waume zao isipokuwa nuru ya sadaka zako ulizokuwa ukitoa kwenye nyumba za ibada, Baraka za uliyemchangia pesa ili akapate matibabu na kuokoa maisha yake .

Ninachotaka si kuwaogopesha bali ni kuwakumbusha kufanya mema kwani hakuna ajuae siku wala saa atakayo nyakuliwa.
 
Back
Top Bottom