Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

Tanzia: Mwanamuziki Moses Bushagama (Mez B) afariki dunia

Apumzike kwa amani. Nilikuwa namkubali sn jamaa!
 
This world is not our home, we are just passing through. R.i.p Mez B, we are on the way.
Very constructive words. Tatizo ni kuyakumbuka maneno hapa pale mmoja anapotangulia, inabidi tuyakumbuke nyakati zote ...za raha na za shida!

 
Sasa akawaimbie "Kikuku cha Mama Roda" huko aendako maana nimeskia huko kuna Night Clubs kibao na mashabiki wa muziki wanamngojea kwa hamu.
 
......Dah! Inasikitisha, kijana bado mdogo!! Ama kweli mavumbini tutarudi.
 
Daa mwenyezi mungu amlaze mahali pema pepon - Amina
 
Back
Top Bottom