TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

dah so sad nakumbuka sana I belive in you" Listen to the radio. RI P Don
 
Nyimbo nyingi za wakongwe zilitanguliwa na busara na hekima ndio zimekuwa za wakati wote zikilenga makundi yote tofauti na sasa nyimbo nyingi ni matusi ya wazi zikilenga kundi fulani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mbaya kwa wapenzi wa country musics ni kwamba yule mkongwe wa nyimbo hizo ajulikanaye kama Don Williams amefariki Dunia.
Allifanya kazi yake vizuri na aliyaishi vizuri maisha yake na kuacha hazina kubwa sana.
Pumzika Don Williams the Gentle Giant
R.I.P don William nna imani utaendelea kuwa nasi kupitia mashairi yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari mbaya kwa wapenzi wa country musics ni kwamba yule mkongwe wa nyimbo hizo ajulikanaye kama Don Williams amefariki Dunia.
Allifanya kazi yake vizuri na aliyaishi vizuri maisha yake na kuacha hazina kubwa sana.
Pumzika Don Williams the Gentle Giant

Habari mbaya kwa wapenzi wa country musics ni kwamba yule mkongwe wa nyimbo hizo ajulikanaye kama Don Williams amefariki Dunia.
Allifanya kazi yake vizuri na aliyaishi vizuri maisha yake na kuacha hazina kubwa sana.
Pumzika Don Williams the Gentle Giant
Vimeo: Watch, upload, and share HD and 4K videos with no adsVimeo: Watch, upload, and share HD and 4K videos with no adsVimeo: Watch, upload, and share HD and 4K videos with no ads

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaamn it...!
Star has fallen again.
May eternal life be peaceful to you.
We remained with Kenny.

Mr. PRESIDENT WHERE IS MY NOAH BEFORE I GOT 10 SHOTS.
 
Back
Top Bottom