TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

Mwanamziki maarufu dunian raia wa Marekan Don Wiliams amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. don william amefariki akiwa na umri wa miaka 78...
Don wiliiam amewahi kutamba na nyimbo kama vile.
Good Ole Boys Like Me
2. I Believe in You
3. Falling Again
4. Miracles
5. Lord, I Hope This Day Is Good
6. If I Needed You
7. Listen to the Radio
8. If Hollywood Don't Need You
9. Love Is on a Roll
10. Nobody But You
11. That's the Thing About Love
12. Maggie's Dream
13. Jamaica farewell.
14. Amanda
15. True love.

na nyingne nyingi

MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI

umeondoka kimwili ila nyimbo zako zitazidi kuishi
98bdd1a672829c13f8c894d3350fb06b.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
rest in peae Don

bunge la tanzania ni "rubber stamp" ya serikali ya magufuli
 
Pumzika Kwa Amani
Your My Bread When I'm Hungry
 
Habari mbaya kwa wapenzi wa country musics ni kwamba yule mkongwe wa nyimbo hizo ajulikanaye kama Don Williams amefariki Dunia. Don amefariki baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Allifanya kazi yake vizuri na aliyaishi vizuri maisha yake na kuacha hazina kubwa sana.
We will always miss you Don Williams, till the river is all run dry.

Pumzika Don Williams the Gentle Giant
Will miss you a lot.RIP ,The Don.
 
Apumzike kwa amani, nyimbo zake zitaendelea kuishi nasi.
 
RIP the legend

Ntakukumbuka kwa hili dude "Some broken hearts never mend"

Na hili dude "I beleive in you" nalidediketi kwa soulmate wangu Sky Eclat

Na haka "Till the Rivers All run dry" Naomba akasikilize leo usiku kabla hajalala



CC Kaizer

I ❤️ love you more honey
 
Back
Top Bottom