TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

Nnachojiuliza mbona hawa jamaa hawa train vijana waje kurithi mikoba yao manake ntimbo zao tam sana
 
Habari mbaya kwa wapenzi wa country musics ni kwamba yule mkongwe wa nyimbo hizo ajulikanaye kama Don Williams amefariki Dunia. Don amefariki baada ya kuugua kwa muda mfupi.

Allifanya kazi yake vizuri na aliyaishi vizuri maisha yake na kuacha hazina kubwa sana.
We will always miss you Don Williams, then, now and till the river is all run dry.

Pumzika Don Williams the Gentle Giant
RIP
 
Nnachojiuliza mbona hawa jamaa hawa train vijana waje kurithi mikoba yao manake ntimbo zao tam sana
Wapo wengi sana. Kuna mizizi imara kabisa katika kizazi cha Country music. Nenda kamtafute Tim Mcgraw, Brad Paisley huko utawKuta na wengine wengi sana
 
Wapo wengi sana. Kuna mizizi imara kabisa katika kizazi cha Country music. Nenda kamtafute Tim Mcgraw, Brad Paisley huko utawKuta na wengine wengi sana
Thanks mkuu brad paisley huyu yuko poa sana ana kitu kinaitwa she is everything so nice
 
Mwanamziki maarufu dunian raia wa Marekan Don Wiliams amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. don william amefariki akiwa na umri wa miaka 78...
Don wiliiam amewahi kutamba na nyimbo kama vile.
Good Ole Boys Like Me
2. I Believe in You
3. Falling Again
4. Miracles
5. Lord, I Hope This Day Is Good
6. If I Needed You
7. Listen to the Radio
8. If Hollywood Don't Need You
9. Love Is on a Roll
10. Nobody But You
11. That's the Thing About Love
12. Maggie's Dream
13. Jamaica farewell.
14. Amanda
15. True love.

na nyingne nyingi

MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI

umeondoka kimwili ila nyimbo zako zitazidi kuishi
98bdd1a672829c13f8c894d3350fb06b.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

dah unanikumbusha mbali sana mkuu ninazo zote kwenye cm!! R I P #Don#
 
Nnachojiuliza mbona hawa jamaa hawa train vijana waje kurithi mikoba yao manake ntimbo zao tam sana
naona huu music unaongozwa na busara sana!!! akili nyingi na ufundi ndo maana waliouweza ni wachache!! kama nyimbo ya I belive in You au 'sinorita' utaelewa!
 
Back
Top Bottom