TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

Duh! Mm ni mpenz sana wa country music ,yaani tbc fm tulikuwa na group letu la whatsaap na fb country music Siku za j pili Chini ya captain Felix Alton .
Hili ni pigo kubwa sana kwa kwetu sisi wana country music.
 
rs-230434-f7d9f152-9305-42f5-a739-bdf2e14ac420-1.jpg

Anafahamika sana kwa jina la utani The gentle giant of country music. He came to my attention kwenye kipindi cha country Radio one mid 2000 cha Regina Mwalekwa. Mwanama huyu mwenyewe kipaji cha aina yake katika Tansnia ya journalism alikuwa anamchambua vizuri sana.

Nikampenda zaidi Don Williams nilipokutana Na Ex wangu yeye alikuwa die hard wa Don Williams Na Dolly Parton. Wimbo wa my heart to you wa Don niliufaham kutoka kwake. Thanks to YouTube tunapata miziki Na video kirahis.

Pia inasadikika hajawahi kubadilisha kuvaa kofia yake toka miaka ya sabini.

Track zake nazopenda ni

Lord I hope this day is good
I recall a gyspy woman
Senorita
Country boy

Na hii hapa chini my best and favourite:

A masterpiece from the master himself!

Don Williams R.IP

H.T.P
 
Cha kushangaza nyimbo anamashabiki wengi Africa tena subsahara Na vijana. Tanzania Kenya Uganda Ghana Nigeria Ethiopia Zimbabwe Sauz Rwanda
 
Nilistuka sana nilipopata taarifa ya kifo chake. Nilizipata ndani ya dakika 45 hivi tangu amefariki niliipata nikiwa mtandaoni kwake nikifuatilia kazi zake huku niki chat na legend mwingine wa country music.
The legend is gone, but not all gone
 
RIP. Kuna wimbo wake mmoja huwa unanikuna sana "Desperately"
desperately loving you desperate...
when you're not here i get a little bit crazy
cu....ly thinking about ....ly... i'm just like a little baby ooooohhhh I LOVE YOU DESPERATELY!!!
 
Seniorita the song that I love from Donald Williams. R.I.P
 
Nilistuka sana nilipopata taarifa ya kifo chake. Nilizipata ndani ya dakika 45 hivi tangu amefariki niliipata nikiwa mtandaoni kwake nikifuatilia kazi zake huku niki chat na legend mwingine wa country music.
The legend is gone, but not all gone
mkuu jaribu kusikiliza track za Don hizi hapa kama hujawahi kuzisikiza I promise you utazipenda hazfahamiki kwa sana
1. My heart to you
2. Tears of the lonely
3/ Flowers won' t grow in garden of stones
4. I recall a gypsy woman
5. It only rains on me
6. I've been loved by the Best

A masterpiece from the master himself!

Don
 
Nashukuru mkuu
 
Listen to the radio

I will never be in love again...

R I P LEGEND
 
mkuu jaribu kusikiliza track za Don hizi hapa kama hujawahi kuzisikiza I promise you utazipenda hazfahamiki kwa sana
1. My heart to you
2. Tears of the lonely
3/ Flowers won' t grow in garden of stones
4. I recall a gypsy woman
5. It only rains on me
6. I've been loved by the Best

A masterpiece from the master himself!

Don
kuna moja umeisahau inaitwa I will never be in love again
 
kuna moja umeisahau inaitwa I will never be in love again
naujua sana huo wimbo sijui kwa nini nimeusahau hata Leo nilishasikia a youtube. Something went wrong along the and there' nothing I can do to make you stay well never put all hopes on you that' the last thing AL ever wanna do.

So you can your way AL go mine if I come across you down the line AL just stop say hello and look

Dah mkuu je Na hii umeshausikia Maybe that's all it takes??
 
Back
Top Bottom