TANZIA:- Mwanasiasa mkongwe Mama Thabita Siwale ameifarik dunia.

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Mama Thabita Siwale, mwanasiasa mkongwe ameifariki dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Ocean Road alipokuwa amelazwa kwa wiki mbili akipatiwa matibabu.

Msiba uko nyumbani kwake Mikocheni Dar es Salaam.

Taarifa rasmi itafuata mara tu baada ya kikao cha wanafamilia.
 

KWA NINI UNALETA TAARIFA ISIYORASMI?
 
Ndio nani huyo? Significance yake ni ipi kwenye ukongwe wa siasa zake?
 
Ndio nani huyo? Significance yake ni ipi kwenye ukong

 
 
Bora hata lucas mwamshamba tuna mjua kwa ushamba wake alivyojipatia umaarufu
 
Mbona kwenye heading neno 'TANZIA' halijapakwa rangi kama ilivyo kawaida au marehemu alikuwa na ugomvi na mamodi wa humu.

R.I.P mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…