TANZIA:- Mwanasiasa mkongwe Mama Thabita Siwale ameifarik dunia.

TANZIA:- Mwanasiasa mkongwe Mama Thabita Siwale ameifarik dunia.

Mbona kwenye heading neno 'TANZIA' halijapakwa rangi kama ilivyo kawaida au marehemu alikuwa na ugomvi na mamodi wa humu.

R.I.P mama.
Wewe itakuwa Mngoni, si bure uwe na utani na wa Nyakyusa
 
Ndio nani huyo? Significance yake ni ipi kwenye ukongwe wa siasa zake?
Huwa nikiwa nawaambia Wananchi kuwa wewe ni mtu wa kuja wawe wanaelewa na waendelee kuelewa.

Wewe sio Mtanzania. ni mamluki na kibaraka wa mabeberu. upo hapa kwa maslahi na manufaa ya mabeberu.

haiingii akilini kwa jinsi unavyo wasilisha na kujitutumua hapa kujua kila kitu kinachoendelea nchini iwe ni siasa, uchumi, jamii na mambo mengine lukuki wakati huohuo una udhahirishia umma kuwa huna ulijuwalo kwa swali lako hilo juu.

😆Huna tofauti na wale slums dwellers wa Ulaya.
 
Back
Top Bottom