Huwa nikiwa nawaambia Wananchi kuwa wewe ni mtu wa kuja wawe wanaelewa na waendelee kuelewa.
Wewe sio Mtanzania. ni mamluki na kibaraka wa mabeberu. upo hapa kwa maslahi na manufaa ya mabeberu.
haiingii akilini kwa jinsi unavyo wasilisha na kujitutumua hapa kujua kila kitu kinachoendelea nchini iwe ni siasa, uchumi, jamii na mambo mengine lukuki wakati huohuo una udhahirishia umma kuwa huna ulijuwalo kwa swali lako hilo juu.