TANZIA: Mwanazuoni you mkubwa, Mtetezi wa Haki na Twariqa Ahlusunnah Sharif Abdulqadir bin Ahmad bin Muhammad Al-Ahdal afariki dunia

TANZIA: Mwanazuoni you mkubwa, Mtetezi wa Haki na Twariqa Ahlusunnah Sharif Abdulqadir bin Ahmad bin Muhammad Al-Ahdal afariki dunia

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
4,274
Reaction score
9,326
Kwa kuridhia qadar ya Allah na huzuni kubwa tumeondokewa na Mwanachuoni wetu mkubwa,Mtetezi wa Haki na Twariqa Ahlusunnah Sharif Abdulqadir bin Ahmad bin Muhammad Al-Ahdal

Aliyefariki Tawfiq Hospital Malindi,Leo.

Ni katika watu waliokuwa wamewekwa karibu sana na Al Imam Muhammad Akbidh,akimoenda na kumtanguliza kwa ajili ya wazee wake ambao alipokea ilimu kwao.

Mola amrehemu,ampe qawli thabit amkutanishe na wazee wake wema, Amiiin Yaa Rab.

Hakika sote ni wamwenyezimungu na kwake tutarejea😭🤲
 
Back
Top Bottom