wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Hizo nyanya zinaliwa na binaadamu au na nyani?
Zinaliwa na ndege aina ya jorowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nyanya zinaliwa na binaadamu au na nyani?
Zinaliwa na ndege aina ya jorowe
Abdu bonge ndo babu tale?
Zinalimwa au ni nyanyapori?
Zinafanya vyote
Zinapatikana wapi kwa wingi?
Kwenye matobolwa
Matobolwa? Ndiyo kitu gani hiko?
big G za kisukuma ndo matobolwaMatobolwa? Ndiyo kitu gani hiko?
Mwenzangu!social networks zimekuwa zinatumiwa isivyopaswa