TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

TANZIA: Mwenzetu Heaven Sent kafiwa na baba yake mzazi mchana wa leo

Pole sana..Mungu awatie moyo katika kipindi hiki kigumu cha majonzi na masikitiko..sote tupita katika dunia hii..
 
Poleni sana wafiwa iwekwe namba ama akaunt maalum ili tufarijiane kama tamaduni za kitanzania
 
Pole sana Heaven Sent katika kipindi hiki kigumu cha kumpoteza mzazi wako. Innalillah wainna ilayh rajiun
 
Back
Top Bottom