Tanzia ndiyo nini????

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,037
Reaction score
998
Habari zenu wanajf...
Mara kwa mara napata matangazo/taarifa za msiba kupitia hapa jf,lakini cha kushangaza mara zote zinakuwa na heading inayoanzia na TANZIA. Najiuliza maswali mengi juu ya hili lakini mara zote nakosa jibu!!!
Mara nyingi najiuliza maswali yafuayayo:-
1.hii tanzia ni moja ya forum hapa jf???
2.ni blogu nyingine tofauti na jf???
3.blogu hiyo ni kwa ajili ya misiba tu???
Leo naombeni mwenye elimu juu ya hili anisaidie kujibu/kukata kiu yangu kwenye jambo tajwa hapo juu.
 
Obituary,?
Ngoja waje wataalamu wa lugha
 
Tangazo la kifo.

KISWAHILI NI LUGHA PANA mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…