KIOO
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 6,235
- 5,854
Nimefungua macho kujikuta vitani,
Kimenuka nadhani,
Watu wameshavuta majani,
Epuka kujihami, mabom yanalipuka jirani,
Wanajuta kukuta haki haipatikani kwa amani,
Kuluta baki nyumbani, tumevuka imani,
Yani kiasi kusuka dili kujistiri gizani,
Na bendera inaendelea kupepea nusu mlingoti,
Wanajeshi na masela, mahabusu nipe ripoti,
Wanaosikia hawaskilizi wanaoskiliza hawaskii,
Machizi si miujiza tunasonga namna hii,
Umesonga BABA nasi tupo nyuma yako RIP Mzee wangu.
RIP MR. RUBANZA.