Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Dah. Alikua ameshafariki hapo ?Ipo pia on Instagram.View attachment 893260
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah. Alikua ameshafariki hapo ?Ipo pia on Instagram.View attachment 893260
Hata sielewi mzee...Dah. Alikua ameshafariki hapo ?
Mimi pia nimeona tu video imepostiwa... Sasa sina uhakika kama hapo alikuwa ameshakata moto au lah! Ila kuna jamaa hapo anasikika akilia... So probably Pancho alikuwa ashakata moto aseeDah. Alikua ameshafariki hapo ?
Ukilewa sio maji yanakuzidi but mwili wenyewe unareact tofauti.. Achana kabisa na muscle crampDuh!!!binafsi hiyo Mbudya sijawahi itamani hata siku moja. Tangu rafiki yangu aloteze maisha akiwa huku. Na kuja na sababu eti alikuwa amelewa maji yakamzidi. Ndiyo nimezidi kupoteza hamasa kabisa ya kwenda huko. Wapumzike kwa Amani wote waliopeteza maisha wakiwa kwenye hiki Kisiwa.
Maji mabaya sanaMimi pia nimeona tu video imepostiwa... Sasa sina uhakika kama hapo alikuwa ameshakata moto au lah! Ila kuna jamaa hapo anasikika akilia... So probably Pancho alikuwa ashakata moto asee
Na ndio maana kuna mtu nimemuuliza what's so special hapo Mbudya hadi paonekane a danger zone! Kama unapafahamu, hebu nijuze; kuna nini hasa! Au kuna mkondo wa bahari?Mbudya hakuna hayo mawimbi labda uyafuate deep sea..and yes naongelea baharini sio ufukweni
Na huo ndio umri wa kujifunza kuogelea! Anyway, from 7 to 15 kwa sababu bado unakuwa na stupid mind. Siamini na umri wangu huu ambao tayari nafahamu nini maana ya kifo kama naweza kucheza na bahari kama nilivyokuwa nafanya primary school! Ile michezo ya kushindana kupiga mbizi several feet under the sea kutafuta nani ataibuka kwanza na mchanga mkononi!Maji mabaya sana
Mimi mpaka leo sijui kuogelea.
Mara ya kwanza kujaribu nilikua na miaka 5 nikazama mpaka leo nikiingia ziwani naishia mwanzoni maji ya kiuno tena mara moja kwa mwaka
kumbe ndio kulivyo huko"... kwakweli sinto kuja kukanyagawatu wengi hawaelewi pale kuna tahadhari kabisa juu ya mkondo wa bahari mkali sana lakini sisi wengi tulivyoku tuna wenge na hatufatilii tunakutana na shughuli pale na hakika ukipona kwenye mkondo ukaweza kusurvive bila kupoteza network basi wewe ni NYAMBIZI
BadoooHujaipata bado?
Sidhani kama Mods wataiyachaIweke hapa mkuu
Kweli kabisa mkuuNa huo ndio umri wa kujifunza kuogelea! Anyway, from 7 to 15 kwa sababu bado unakuwa na stupid mind. Siamini na umri wangu huu ambao tayari nafahamu nini maana ya kifo kama naweza kucheza na bahari kama nilivyokuwa nafanya primary school! Ile michezo ya kushindana kupiga mbizi several feet under the sea kutafuta nani ataibuka kwanza na mchanga mkononi!
ImeshawekwaSidhani kama Mods wataiyacha
Makaburi ya sisi waafrika yanamatatizo sanaI have been in Mbundya kama mara Mbili hivi, nikiwa na mshakaji wangu ambe kimsingi alikuwa by then mfanyakazi wa Marine Parks Reserve Agency.
Most common place ya kuingilia ni Whitesand kama nakumbuka vema ambapo kuna majahazi yanayobeba abiria kutoka hapo whitesand to Mbundya kwa nauli kwa wakati ikiwa ni TZS 10,000 kama nakumbuka vema (it was 2014-15)
Kiukweli pamoja na starehe kubwa kule kuogelea, kula samaki choma na Pronce (sijui ndo ivo).
Tatizo kubwa kule ni matumizi ya Mihadarati, pombe na Ngono ni sehemu ambayo haina sana ulinzi naamini kwa sababu ya nature ya shughuli za kule (Kula bata).
Lakn pia kwa waliokwenda kuna upande fulani kuna makaburi ambayo nilisikia kuwa kwa ile vilabu vyetu vya soka hutembelea kwa ajili ya matambiko hasa kipindi karibu ba mechi.
Kwa namna hiyo pia upo uwezekano wa kuwa kuna mambo ya giza yanatawala eneo hilo kwa namna moja ama nyingine.
Sikuwahi kurudi tena kisiwani hapo ingawa naamini ntarudi huko wakati mwingine.
Wala hapana danger, kuna sehemu watu hawaruhusiwi kufika na pana bango.Na ndio maana kuna mtu nimemuuliza what's so special hapo Mbudya hadi paonekane a danger zone! Kama unapafahamu, hebu nijuze; kuna nini hasa! Au kuna mkondo wa bahari?
Kuna strong sea current along the island shore line na tatizo la sea curent juu unaona maji yametulia lakini chini maji yana flow kama mto unavyotiririsha maji , kwahiyo kama sio muogeleaji mzuri wa kufata mtirirko slowly unakurupuka na ndio unapochoka na maji yanakuvuta unazama kufata mkondo wake.kumbe ndio kulivyo huko"... kwakweli sinto kuja kukanyaga
Aisee .. hapafai basi hukoKuna strong sea current along the island shore line na tatizo la sea curent juu unaona maji yametulia lakini chini maji yana flow kama mto unavyotiririsha maji , kwahiyo kama sio muogeleaji mzuri wa kufata mtirirko slowly unakurupuka na ndio unapochoka na maji yanakuvuta unazama kufata mkondo wake.
HahahaaMakaburi ya sisi waafrika yanamatatizo sana
Sijawahi kusikia ya Asia au Europe yakiwa na mauza uza
Huku mtu unakufa umeshatembelea waganga karibu 300 ni lazima kaburi lako lisumbue