TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Jamaa alikuwa anajua sana na alikuwa mtu simple hata ukimcheck anakujibu poa tu hana maringo.
Kuna siku nilitaka nkale course kwake alikuwa anafundisha bure sa nikamcheki insta direct akanijibu poa nikamwambia ila sijui kupiga kinanda akaniambia yeye hawezi mfundisha mtu kupiga kinanda maana hajui aanze vipi akanipa namba ya mwalimu aliyemfundisha yani jamaa alikuwa poa sana hana maringo
 
Ukilewa sio maji yanakuzidi but mwili wenyewe unareact tofauti.. Achana kabisa na muscle cramp
 
Mimi pia nimeona tu video imepostiwa... Sasa sina uhakika kama hapo alikuwa ameshakata moto au lah! Ila kuna jamaa hapo anasikika akilia... So probably Pancho alikuwa ashakata moto asee
Maji mabaya sana
Mimi mpaka leo sijui kuogelea.
Mara ya kwanza kujaribu nilikua na miaka 5 nikazama mpaka leo nikiingia ziwani naishia mwanzoni maji ya kiuno tena mara moja kwa mwaka
 
Mbudya hakuna hayo mawimbi labda uyafuate deep sea..and yes naongelea baharini sio ufukweni
Na ndio maana kuna mtu nimemuuliza what's so special hapo Mbudya hadi paonekane a danger zone! Kama unapafahamu, hebu nijuze; kuna nini hasa! Au kuna mkondo wa bahari?
 
Maji mabaya sana
Mimi mpaka leo sijui kuogelea.
Mara ya kwanza kujaribu nilikua na miaka 5 nikazama mpaka leo nikiingia ziwani naishia mwanzoni maji ya kiuno tena mara moja kwa mwaka
Na huo ndio umri wa kujifunza kuogelea! Anyway, from 7 to 15 kwa sababu bado unakuwa na stupid mind. Siamini na umri wangu huu ambao tayari nafahamu nini maana ya kifo kama naweza kucheza na bahari kama nilivyokuwa nafanya primary school! Ile michezo ya kushindana kupiga mbizi several feet under the sea kutafuta nani ataibuka kwanza na mchanga mkononi!
 
kumbe ndio kulivyo huko"... kwakweli sinto kuja kukanyaga
 
I have been in Mbundya kama mara Mbili hivi, nikiwa na mshakaji wangu ambe kimsingi alikuwa by then mfanyakazi wa Marine Parks Reserve Agency.

Most common place ya kuingilia ni Whitesand kama nakumbuka vema ambapo kuna majahazi yanayobeba abiria kutoka hapo whitesand to Mbundya kwa nauli kwa wakati ule ikiwa ni TZS 10,000 kama nakumbuka vema (it was 2014-15)

Kiukweli starehe kubwa kule ni kuogelea + michezo mingine ya beach, kula samaki choma na Pronce (sijui ndo ivo).

Tatizo kubwa kule ni matumizi ya Mihadarati, pombe na Ngono hasa kwa sababu ni sehemu ambayo haina sana ulinzi naamini kwa sababu ya nature ya shughuli za kule (Kula bata).

Lakn pia kwa waliokwenda kuna upande fulani kuna makaburi ambayo nilisikia kuwa kwa zile vilabu vyetu vya soka hutembelea kwa ajili ya matambiko hasa kipindi karibu ba mechi.

Lkn pia wapo watu huenda kule ikiwa wanakwenda kwa lengo la ukikwagula kwa maelekezo toka kwa wajuzi kuwa wakazuri makaburi yale ya kale.

Kwa namna hiyo pia upo uwezekano wa kuwa kuna mambo ya giza yanatawala eneo hilo kwa namna moja ama nyingine (rejea para ya hapo juu)

Sikuwahi kurudi tena kisiwani hapo ingawa naamini ntarudi huko wakati mwingine kula bata.
 
Kweli kabisa mkuu
Kipindi kile vifo tulikua tunavisikia tunaona kawaida tu
Lakini sasa hali tofauti
 
Makaburi ya sisi waafrika yanamatatizo sana
Sijawahi kusikia ya Asia au Europe yakiwa na mauza uza

Huku mtu unakufa umeshatembelea waganga karibu 300 ni lazima kaburi lako lisumbue
 
Na ndio maana kuna mtu nimemuuliza what's so special hapo Mbudya hadi paonekane a danger zone! Kama unapafahamu, hebu nijuze; kuna nini hasa! Au kuna mkondo wa bahari?
Wala hapana danger, kuna sehemu watu hawaruhusiwi kufika na pana bango.
 
kumbe ndio kulivyo huko"... kwakweli sinto kuja kukanyaga
Kuna strong sea current along the island shore line na tatizo la sea curent juu unaona maji yametulia lakini chini maji yana flow kama mto unavyotiririsha maji , kwahiyo kama sio muogeleaji mzuri wa kufata mtirirko slowly unakurupuka na ndio unapochoka na maji yanakuvuta unazama kufata mkondo wake.
 
Aisee .. hapafai basi huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…