Aisee .. hapafai basi huko
Nimeiyona aisee. Watu wanalia huku wana kilaji mkononi... Shikamoo starehe[emoji23][emoji23]Imeshawekwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Makaburi ya sisi waafrika yanamatatizo sana
Sijawahi kusikia ya Asia au Europe yakiwa na mauza uza
Huku mtu unakufa umeshatembelea waganga karibu 300 ni lazima kaburi lako lisumbue
Duh!poleMwaka jana rafiki yangu naye alipoteza Maisha hukohuko Mbudya. Naye alizama. Nadhani Serikali inapaswa kukiangalia tena hicho kisiwa kwa Undani.
Duh!pole
Maji kama hujayazoea hususani sisi wa bara ni tabu sana kuogelea hasa kina kirefu.Natoa pole Kwa wafiwa wote Mungu awatie nguvu.Maji mabaya sana
Mimi mpaka leo sijui kuogelea.
Mara ya kwanza kujaribu nilikua na miaka 5 nikazama mpaka leo nikiingia ziwani naishia mwanzoni maji ya kiuno tena mara moja kwa mwaka
Maji hayana uzoefu.Maji kama hujayazoea hususani sisi wa bara ni tabu sana kuogelea hasa kina kirefu.Natoa pole Kwa wafiwa wote Mungu awatie nguvu.
Lazima maana mchawi akizeeka anageuka jiniMakaburi ya sisi waafrika yanamatatizo sana
Sijawahi kusikia ya Asia au Europe yakiwa na mauza uza
Huku mtu unakufa umeshatembelea waganga karibu 300 ni lazima kaburi lako lisumbue
[emoji23]si ndio hapoNimeiyona aisee. Watu wanalia huku wana kilaji mkononi... Shikamoo starehe[emoji23][emoji23]
Kuna simba auWala hapana danger, kuna sehemu watu hawaruhusiwi kufika na pana bango.
Walienda Ku shoot Au?? Ngoja tuone ripoti itasemaje.[emoji23]si ndio hapo
Alafu kaka yake amekataa mdogo wake hakwenda kula bata
Lakini waliomuona akiwa mzima wanasema alikua kalewa mno
Much thanks. Nimetumiwa mahali. Inasikitisha sana. Pumzika kwa Amani Mafia.This one mkuu...View attachment 893614
Acha tu... Apumzike kwa amani kwa kweli...[emoji120][emoji120][emoji120]Much thanks. Nimetumiwa mahali. Inasikitisha sana. Pumzika kwa Amani Mafia.
bila kusahau Mdananda ya Sheta.Kazi ya Chid Dar es Salaam Stand Up aliitendea haki sana RIP Pancho Latino
Mbudya ni hatari sana kule...nakumbuka kuna wakt tulienda na jamaa zangu km 3 hivi tukavuka vizuri kufika..kumbe jamaa ambae tulikia nae alikua na mashetani mara ghafla akaanza kulalamika kichwa kinauma sana..katika haraka za kurudi jamaa alianza kupiga mayowe na kutaka kuruka ndani ya maji ilikua shida ile siku...tangu siku ile sikuwahi kuwaza kurudi tena