CaptainRobinMorgan
Senior Member
- Apr 6, 2018
- 103
- 261
Pancho your the genius man..daaaa goma la joh makini lilee
Daaaaaaah! Huo mkono sasa!Huku Mbudya kubaya sana kwa kweli.View attachment 892138
Huko wanaenda kufanya nini?Benpol aliwah kuponea chukuchuku hapa Mbudya...
Huyu hapa....alitengeneza wimbo wa Joh Makini Karibu kwenye Show za JohPicha yake tafadhali !
Nimepanic ghafla kumbe Maji yanaweza kumgeuka binadamu haraka hivi yarabRip Pancho Latino maji hapana
R.I.PHuyu hapa....alitengeneza wimbo wa Joh Makini Karibu kwenye Show za JohView attachment 892152
OMG alikuwa ametumia kilevi?Ndio, alizama majini.
Maji hayafai wangu..mi nayaogopa balaa!!nikiendaga sehemu za kuogelea nakuaga mpenzi mtazamajii!!Nimepanic ghafla kumbe Maji yanaweza kumgeuka binadamu haraka hivi yarab
Mtumbwi ulitaka kuzama au ilikuwaje?Ben pol alishawahi kunusurika hukohuko mbudya. Rip pancho.
Mkuu, hivi huwaga kuna nini huko? Maana story zake sio nzuri kabisa. Ben pol alinusutika kukata kamba hukohuko.Mbudya kama haupo timamu sikushaur uende
Ila Pancho Mbudya alikua anaenda Sana. Yeye na Hermy michezo ya Maji wanaipenda Sana. Siku yake ilifika tuMbudya kama haupo timamu sikushaur uende