TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

>>> Taarifa za hivi punde.
Pruducer wa mziki wa BONGO FLEVA Pancho Latino wa B'Hitz maarufu kama Mafia amefariki dunia katika kisiwa cha Mbudya... Taarifa zaidi zitafuata.
Rest in Peace LATINO.
(Clouds media)
 
Picha yake tafadhali !
Huyu hapa....alitengeneza wimbo wa Joh Makini Karibu kwenye Show za Joh
Screenshot_20181009-193536.jpeg
 
Back
Top Bottom