Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,007
Daah nimeiona hyo clip asee inasikitisha sanaHuyu hapa....alitengeneza wimbo wa Joh Makini Karibu kwenye Show za JohView attachment 892152
Kuna kuna nn mzeeeMbudya kama haupo timamu sikushaur uende
Tafuta siku nenda kaogelee kichwa kichwa ndo utaelewa inshort mimi nimenusurika paleMkuu, hivi huwaga kuna nini huko? Maana story zake sio nzuri kabisa. Ben pol alinusutika kukata kamba hukohuko.
Ikifika siku ya kufa hata kama mtu ni mtaalamu kiasi gani maandiko yatatimia tu. Hii inanikumbusha jamaa mmoja anaitwa Masiaga.Mkuu, hivi huwaga kuna nini huko? Maana story zake sio nzuri kabisa. Ben pol alinusutika kukata kamba hukohuko.
ilikuwa boti nadhani, walizama kabisa, sema walivaa maboya. Walikaa kwenye maji hadi walipookolewa na wavuvi.Mtumbwi ulitaka kuzama au ilikuwaje?
Picha basi wengine hatumfahamuProducer maarufu wa B’ Hitz Record Pancho Latino maarufu kama mafia, amefariki kwa ajali ya kuzama na maji kisiwa cha Mbudya.
YaapBen pol alishawahi kunusurika hukohuko mbudya. Rip pancho.
Sema mimi sinaga ushkaji na maji mengi mengi, tuna beef kitambo sana. Sema kifo kama kimefika ndo hivyo tu ila ni muhimu kuchukua tahadhari.Tafuta siku nenda kaogelee kichwa kichwa ndo utaelewa inshort mimi nimenusurika pale
Mbudya sio kuzuri binafsi huwa napaogopa nilienda Mara moja ,mawazo yalikua ktk kurudi tuHuku Mbudya kubaya sana kwa kweli.View attachment 892138
Kweli mkuu, ila ni muhimu kuchua tahadhari.Ikifika siku ya kufa hata kama mtu ni mtaalamu kiasi gani maandiko yatatimia tu. Hii inanikumbusha jamaa mmoja anaitwa Masiaga.
Nakumbuka ndioilikuwa boti nadhani, walizama kabisa, sema walivaa maboya. Walikaa kwenye maji hadi walipookolewa na wavuvi.
Unamjua chunusi mkuu basi ukipona kwa icho kiumbe nenda kafanye ibadaSema mimi sinaga ushkaji na maji mengi mengi, tuna beef kitambo sana. Sema kifo kama kimefika ndo hivyo tu ila ni muhimu kuchukua tahadhari.