rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Ilikuwaje mkuu huyo Mafiaga??Ikifika siku ya kufa hata kama mtu ni mtaalamu kiasi gani maandiko yatatimia tu. Hii inanikumbusha jamaa mmoja anaitwa Masiaga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwaje mkuu huyo Mafiaga??Ikifika siku ya kufa hata kama mtu ni mtaalamu kiasi gani maandiko yatatimia tu. Hii inanikumbusha jamaa mmoja anaitwa Masiaga.
Nami nasubiri jibu hapa, kumbe Dar kubwa sanaMbudya ndo wapi wakuu
Mie nilienda cz kulikua na washikaji wametoka nje ( Kigali) ikabidi tuwatembeze huko ,ila mmmh Mungu tu alisaidiaKuna rafiki yangu mmoja alisema twende huko, nikamwangalia nikamchekii..
Heeeh. Pole aiseeTafuta siku nenda kaogelee kichwa kichwa ndo utaelewa inshort mimi nimenusurika pale
Duh aisee bado bwana mdogo sana. R.I.PPicha mwanzo hazikuweza kupanda mtandaoni View attachment 892178
Yesu wangu. Hata Zanzibar ningeacha kwenda na boat yangenikutailikuwa boti nadhani, walizama kabisa, sema walivaa maboya. Walikaa kwenye maji hadi walipookolewa na wavuvi.
Aisee pole mzee.. Mtumbwu ulizama au??Kuna mwanangu Jason alifia huko huko kubaya sana wakati wa kwenda fresh kurud sasa wanakaa adi jion hali ya hewa ina bdlikaga
RIP
We ni nanga ktk maji ?Mimi muoga sana ujue
Mimi sijawahi kuogopa Maji sijui kwanini.. Sema natakaga kuwa na mwanaume karibu nikiwa nadeal na MajiMbudya sio kuzuri binafsi huwa napaogopa nilienda Mara moja ,mawazo yalikua ktk kurudi tu
Ulikutana nae live?Unamjua chunusi mkuu basi ukipona kwa icho kiumbe nenda kafanye ibada
Yaah bye byee...kuhusu bye byeee...Noma sanaa panchooooooo.Napotokea ni arusha na maisha nayoishi kipimio chenu bora bye bye nishakibusu bye byedaah moja ya kazi alioifanya Pancho aseee
R I P
Nanga ndo uoga?!!!We ni nanga ktk maji ?
Mwenyewe nasubiri jibu hapa.....mtu atilirike!!!Nami nasubiri jibu hapa, kumbe Dar kubwa sana
RIP producer
Ibiza yetu ni bongoyo mkuu.Huko mbudya au ndo Ibiza ya Tanzania ila Rip pancho.
Hahaaaahaaa!! Mwanaume wa kukupa back upMimi sijawahi kuogopa Maji sijui kwanini.. Sema natakaga kuwa na mwanaume karibu nikiwa nadeal na Maji
Alisombwa na Maji au ilikuwaje?Majanga yote ni kurudi kumi na mbili ,kuna mshikaji walikumta kawe