TANZIA: Producer Joshua Magawa "Pancho Latino" wa B hitz records afariki dunia

Pancho Latino
[emoji116][emoji116]
Show za Joh
Dar Stand Up Chid
Baby candy - dully sykes
Kupenda - dully sykes
Ndege mtini - Ferouz
Kariakoo - Mataluma
Karibu tena - Joh Makini ft Fatuma
Sirudi tena - Mabeste
Bye bye - Joh Makini ft G nako
RIP bra ila picha ni muhimu afu maelezo hayatoshi mkuu
Alikuwa studio gani?
Alishiriki song zipi na zipi
Msiba uko wapi
Nk nk
 
Nimekuwa nkitamani kufika kwenye hivi visiwa ambavyo vijana wengi wa Dar es Salaam wamekuwa wakienda wikiendi,hili linafanya nijifikirie mara mbili aise
Mbudya totoz na kwa bata kuzuri,ila binafsi nakushauri nenda bongoyo mie bongoyo nishaenda sana ,ila mbudya Mara moja niliyoenda nilikua mpole kisiwani nawaza kurudi tu
 
Mbudya totoz na kwa bata kuzuri,ila binafsi nakushauri nenda bongoyo mie bongoyo nishaenda sana ,ila mbudya Mara moja niliyoenda nilikua mpole kisiwani nawaza kurudi tu
Cha ajabu tulichanga vijana kadhaa tukanunua boat ila binafsi sijawahi kwenda nayo kokote.Totoz wa Mbudya wanatoka wapi? Na wenyewe wanaenda tu kubarizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…