TANZIA: Rais wa awamu ya tatu ya Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia

Nakumbuka kwenye ule uchaguzi wa mwaka 2007 alipoiba kura, aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Bw. Samuel Kivuitu (Rip) baada ya vurugu kuanza alipoulizwa nani alikuwa ameshinda kwenye ule uchaguzi ndipo kimaajabu akajibu, "Hata mimi sijui nani aliyeshinda." 🤣🤣🤣
 
Utoke Bomet kote huko hadi Othaya kisa msiba wa Kibaki, utakua kati ya walio well connected nchi hii.. Ha ha ha!
Ni imani kwa kiongozi wetu aliyetuongoza. Jioni nitakuwa maeneo ya Athi-River then nitalala maeneo ya Chiromo Road-Villa Rose, Nairobi.
 
Alikua kiongozi mzuri sana. Nilikua namkubali sana. Apumzike kwa amani.
 
Generation ya freedom fighters inamalizika. RIP Mr Kibaki
 
Kumbe wengine mnatokwa tu mqpovu humu ila hamjui chochote?

2007 watu zaidi ya 2000 waliuwa Kenya sababu ya utata wa matokeo
Maliemu aliizuia maandamano lakini uchaguzi wa2020 ulikua na utata mwingi sana.
 
Farewell..
 
Emmilio Stanley Mwai Kibaki, best president Kenya has ever had, since independence.

Mwendazake ameaga dunia leo hii akiwa na umri wa miaka 90. Rambirambi zinazidi kutolewa kwa familia yake na kwa rais UK, kwa niaba ya taifa la Kenya na wakenya. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Mwai Kibaki aliitawala nchi ya Kenya kutoka Des. 2002 hadi Aprili 2013. Baada ya kushinda uchaguzi wa urais, kwenye jaribio lake la tatu. Kabla ya kuwa rais alihusika sana kwenye vuguvugu za kuirudisha nchi ya Kenya kwenye siasa za vyama vingi. Alikuwa makamu wa rais pia, chini ya utawala wa Mzee Jomo Kenyatta, waziri wa fedha na mbunge wa eneo bunge la Othaya kwa muda mrefu.

 
Nasikia alikuwa mafia sawa na sura yake
 
Kila rais ana mabaya yake ila kupitia comments za wakenya wengi sana mtandaoni, naona kama wanamuhusudu sana hasa katika mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi nchini Kenya.

RIP Mzee kibaki
Ni kweli mkuu, kimsingi tujitahidi tu kuishi kwa kutenda yaliyo mema coz it's a seed we sow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…