TANZIA: Rais wa awamu ya tatu ya Kenya, Mwai Kibaki afariki dunia

27 April 2022
Nairobi, Kenya

Former bodyguard: My near death experience with Kibaki


David Wambugu was dismissed from GSU after Machakos accident speaks of .....
 

8 December 2002
Nairobi — Ailing Opposition presidential candidate Mwai Kibaki was visited at a London hospital by President Daniel arap Moi on Saturday shortly after his running mate, Mr Wamalwa Kijana was admitted at the institution's High Dependancy Unit over gout and kidney problems.


Mr Wamalwa, also the Ford-Kenya chairman, was admitted to Wellington Hospital, moments before President Moi arrived to the institution to wish Mr Mwai Kibaki well, apparently unaware of the second admission..

 
Naombeni ile Clip ambayo Mwendazake aliitisha kujitetea kuwa Mke wake ni Lucy na hana mwingine... First Lady Lucy aka interrupt bitterly with words "SAY IT NOW OR NEVER"
 
Kiujumla maandalizi yote ni ya hovyo sana.Nimeshangaa sana hata kaburi jinsi lilivyoandaliwa si kwa hadhi ya Rais.Hata vijana wanaorudisha udongo hawako organized.Kwenye kurusha udongo hakuna protocol pia jinsi kaburi lilivyoandaliwa pale angeweza kudondokea mtu kule shimoni wakati wa kurusha udongo.Aise yaani ni kama maazishi ya mjumbe wa nyumba kumi.

R.I.P Kibaki
 
Ninafuatilia maazishi ya hayati Kibaki nikiri tu kwamba pamoja na kuwa marehemu hana kauli na wala kuzikwa kwake sio swala la muhimu kwake kwa kuwa amekwisha kufariki Lakini nimeshangazwa sana na utaratibu wa maazishi mpaka maziko yake.Maandalizi ni ya hovyo mno.

Mbaya zaidi kwenye kuzikwa ndio kabisa Kaburi halijaandaliwa wala wahusika hawako organized.Pale mtu anayekwenda kurusha udongo angeweza kudondokea ndani ya kaburi bahati mbaya.Kuna askari mmoja alijikwaa akadondoka.Aise nimeshangaa sana kwanini Kenya haiwapi heshima viongozi wao.

Apumzike kwa Amani Hayati Kibaki
 
Wewe una roho ya kichawi sana. Hivi we ukikufa ata masharobaro wa barabara watakuja mazishi yako? una umaskini wa kifikra. Unafaa kumfuata Kibaki kuzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…