Mdogo mdogo mkuu,sasa ikiwa si siutakuwa ushamtumia salam za rambirambi aliye haiKama nikweli RIP
Habarini za saa hizi?
Katika kuangalia status za Whatsapp naona watu wengi wame post Nyundo kafariki. Nimetafuta source sijafanikiwa. Najua humu ndio mama wa habari zote.Tafadhali tujuzane ni nini kimempata kama ni kweli.
Kama ni kweli nawapa pole ndugu zangu wanzanzibar na wafiwa wote.
Sheikh Nyundo ni Sheikh mwenye ushawishi mkubwa kwenye dini ya ndugu zetu waislam na amekua akikemea mengi mabaya waziwazi. Nadhani pia aliwahi kufungiwa kuzungumza kutokana na kuikosoa serikali ya Zanzibar mara kadhaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sahihi kabisaKutoka BAKITA, correct word ni marehemu. Neno 'hayati' linaelezea uhai. Hivyo huwezi kum-entitle mtu aliyekufa kama 'hayati'. Hao kamusi project nao wanachemsha.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na BAKITA (Baraza la Kiswahili Tanzania).
Kuna kitabu kinaitwa' Sifi Mara mbili'Alikufa Tena 2009?
Masuala ya Mods kuunganisha uzi ndio huleta masuala kama haya.Alikufa Tena 2009?
Kuna mkanganyiko hapa. Idd Nyundo aliyewahi wakati fulani kua Mkurugenzi wa Manispaa ndio aliyefunguliwa uzi mwanzo kabisa kua amefariki 2009.Alikufa Tena 2009?