Hakuna watu wenye roho mbaya za kujificha kama walokoleNdivyo tunavyo kufaga hata sisi tusio julikana na ambao tukifa hakuna mtu anaekuja mitandaoni na kusema chochote.
~Roho zao ziende mahali panapo stahili kuwa.
Alichoandika nimeelewaHakuna watu wenye roho mbaya za kujificha kama walokole
Mimi binasfi sina roho mbaya,na kuhusu wokovu usiuseme kwa ujumla na ni mkataba/agano la Mungu na mtu.halafu ukipewa ukweli usiseme roho mbaya.Hakuna watu wenye roho mbaya za kujificha kama walokole
Asante mkuu kwa kuelewa.ila aonavyo mtu nasfini mwake ndivyo alivyo.Alichoandika nimeelewa
Picha yaako unaonekana mshaaaambaaa. Na comment yako inasupport ur appearance.R.I.P
Naona marehemu mmoja alikua anapaka hina vidoleni
Pengine hajakuelewa, tumpe mda wa kutafakari,coz wengi wanakufa kama wao lkn kwa vile hawajulikani hawatangazwi popote. Huenda hata mimi nikifa hakuna mwana jf ambaye atajua kuwa nimededAsante mkuu kwa kuelewa.ila aonavyo mtu nasfini mwake ndivyo alivyo.
Kwa jins ulivyoandika hata mtoto mdogo akisoma atajua tuu umeandika kwa nia mbaya..we wish eachother good luck,hata sku1 huwez msikia mtu anamuwish mwenzie kubaya,hata afe nan.sasa hii sjaiona kwako tuu,ni most ya watu wanaojifanya wameokoka ndo hua wako hvyo..na kaul zao zingne utakuta wakiona watu wana live their lives utawaskia ,.jiandalie maisha mbingun,achana na ya dunia,hyo kaul wanaitoaga kinafk sana,..au ile kaul ya "hilo dongo tuu ipo siku litaenda mavumbin"hapo wamemwona mdada kapendeza au mzur,..yaan walokole wengne ni watu wa ajab sana,aliekwambia Mungu ana mda na miner ishuz nan,Mungu ni mwema kwa watu wote ndomana hata jambaz akiomba msamaha anamsamehe bila kinyongo,ila milokole ndo ya kwanza ku hukum watu hapa dunian,..God has bigger stuffs to deal wit,..ungeifaham science ya dunia jins ilivyo,unge apreciate the power of God na kujua Mungu ni mkuu sana na ha deal na vitu vidogo dogo,na ndomana yuko kimyaa,watu wanalalamika kila siku na kulia makanisan ,anajua binadam anaweza tatua matatzo yake bila yeye,sasa kiila siku kumlilia.wenyew wanaona sifa..kuna bilions of stars,universe,planets,tena uskute kuna viumbe huko viing na sayar nying zeny viumbe,et akae apoteze mda na binadam,et amchome moto sjui nin,crap tuu kutishana watu watoe sadaka mchungaj aweke mfukon.PERIODMimi binasfi sina roho mbaya,na kuhusu wokovu usiuseme kwa ujumla na ni mkataba/agano la Mungu na mtu.halafu ukipewa ukweli usiseme roho mbaya.
~Ulitaka tuseme walale pema peponii??haahaa haita wezekana mkuu "hazina ilipo ndipo na moyo utakapo kuwa"halafu hatuwezi kumpangia Mungu pa kuwaweka watu wake,maana hatuna mbingu.
Kwahyo unaonea wiv wenzio kujulikana,hahah.haya mkuu,fanya juhud ujulikane,nawee niwalewale wa team roho chafu.Pengine hajakuelewa, tumpe mda wa kutafakari,coz wengi wanakufa kama wao lkn kwa vile hawajulikani hawatangazwi popote. Huenda hata mimi nikifa hakuna mwana jf ambaye atajua kuwa nimeded
ningependa kuuliza kama kuna tamaduni Tanzania inayoruhusu ME kupaka hina vidoleni?
"Wasanii wanaigiza Kaole CD Dukani,Kina Dada wanaigiza Ulokole miili Buchani" - One IncredibleHakuna watu wenye roho mbaya za kujificha kama walokole