Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetoa mapovu mengi sana lakini ukweli wenyewe ni binadamu ukifa unaenda sehemu unayostahili na sio mahali pema peponi...unachofanya wewe umemuita mwenzako mnafiki lakini kwa mtu muelewa ulipaswa wewe ndo uitwe mnafiki...manake wewe unaogopa kuusema ukweli sasa unafunika ukweli kwa kutumia farajaBinadam tumezoea kuombeana mazur.hyo kaul mwachie atoe mungu mwenyew,...,angekua mtoto ako au mama yako au mdogo wako ungetoa kaul hyo mbele za watu..ndomana nmesema walokole ni watu wa roho flan hiv wanazijua wao..
Umenikumbusha Simba na Yanga!Haya mambo ya team huwa yanasababisha makafara sana
Hata mimi nahisi ni SADAKA tu hiyo...RIP VIJANA.Kafara ya mwanzo wa mwaka
Hahahahhaha nakuona nakuonaR.I.P
Naona marehemu mmoja alikua anapaka hina vidoleni
Wasalimie kolomijeWapaka hina hamjifichi .
Mbona wewe ni Lipumba damdam?Yani kijana unajitanabaisha kama team diamond? Yani ukifa ukumbukwe kwa kuwa team diamond? Hiyo ndiyo purpose yako hapa duniani? Hiyo mdiyo faida ya uwepo wako chini ya mbingu? Huo ndio mchango wako to humanity?
Kashfa hizi mkuu...Mbona wewe ni Lipumba damdam?
Ebooo
Hakuna cha sadaka wala nini,Phillipo alikua anaendesha gari speed sana....tulishamuinya mara nyingi tu,nakumbuka kuna siku nilimuambia hii Vista usipoangalia inaeza kua kaburi lako...yametimia leo!!Hata mimi nahisi ni SADAKA tu hiyo...RIP VIJANA.
Hizi TEAM HIZI[emoji22][emoji22][emoji22]
Kafara yake ndo ilipangwa iwe ivoHakuna cha sadaka wala nini,Phillipo alikua anaendesha gari speed sana....tulishamuinya mara nyingi tu,nakumbuka kuna siku nilimuambia hii Vista usipoangalia inaeza kua kaburi lako...yametimia leo!!
Hata chanzo cha ajali ni Over Speed....aliovertake semitrailer na akakutana na semi nyingine uso na uso
Hakuna atakae kuelewaa.. Wametanguliza chuki kama chuchu za saa6..Hakuna cha sadaka wala nini,Phillipo alikua anaendesha gari speed sana....tulishamuinya mara nyingi tu,nakumbuka kuna siku nilimuambia hii Vista usipoangalia inaeza kua kaburi lako...yametimia leo!!
Hata chanzo cha ajali ni Over Speed....aliovertake semitrailer na akakutana na semi nyingine uso na uso