Tanzia: Team Diamond, Nevvo Msafi na Platnumzmond wafariki dunia

Unachozungumza inaonesha wazi huupend ulokole sababu za watu kadhaa!mchungaji wa kweli hakutishi ila anakwambia ukweli.biblia inasema kuishi ni kristo kufa ni faida,mwanzo inasema kwakua umeasi mavumbin utarud.ayubu 14 inasema siku za mwanadamu ni chache nazo zimejaa tabu.mkuu ukitaka usitishike ungekuwa kiumbe kingine na si binadamu.

~Halafu mchungaji haitaji sadaka yako km Mungu amemuita anajua namna atakavyo mlisha,Elisha alilishwa na kunguru.halafu hizo minor ishu unazozisema mkuu Mungu si mtu,Mbinguni hakita ingia kinyonge na kumbuka ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu si nguvu za ubondia.

~Ww unahitaji tarasa sio la kuokoa ila la kuijua biblia kwa ndanibna ujue nn kinaendelea maana shida ipo.huwa hatuwaombei watu kubaya na ndio mana tunasema alazwe panapo stahili.maana matendo yake ndio yanapeleka roho haye ikae wap.

~Mkuu mbingu sio ukumbi wa harusi kwamba ukiwahi tu unakaa mbele,kazi uliyo ifanya duniani ndio inakupa nafasi mbinguni na kukupa taji ya aina gani.ss km ww unaona kutoa anakula mch.endelea kutotoa.biblia inasema "jiwekeeni hazina mbinguni ambako hakuna wezi wala kutu na huko ni salama"ss km unafikiri kuna benki na ya ww kuipeleka hiyo fedha sahau.

~KUFA NI LAZIMA NA BAADA YA KIFO NI HUKUMU.
 
Ndivyo tunavyo kufaga hata sisi tusio julikana na ambao tukifa hakuna mtu anaekuja mitandaoni na kusema chochote.

~Roho zao ziende mahali panapo stahili kuwa.

mkuu Napoleone binafsi sijaona kosa lolote kwenywe komenti ya mkuu Anakuja Yesu ,unaposema alale mahali pema peponi na Mungu amuweke mahali anapostaili hili neno la pili ndio lenye nguvu kwa sababu hujaingilia mamlaka ya Mungu, yeye ndiye atakayeamua amuweke jehanamu ama peponi kulingana na matendo yake,

tuendelee kukumbushana,
swali kabla hujaswaliwa,
na usipoingia kanisani ukiwa umesimama ,utaingia ukiwa umelala.
 
Nimekufurahia saana.asante mkuu maxmizer
 
Naijua vzur bible mkuu,..tatzo umekarir unachokiamin,,huwez nielewa hata sku1 sabab mi naamin bible imeandikwa na binadam not God,..muumba wa hii dunia na vilivyomo anasingiziwa meng sana..hata quran wanasema imeshushwa na mungu,..hata ukienda kwa budha or hindus watakwambia vitab vyao vimeandikwa na mungu,..hiv vitab vimeandikwa na binadam kwa purpose wanazozijua wao,..though Mungu yupo na anatushangaa sana kwan tumelishwa sana matango pori,..ila point nilikwambia kua Mungu ni mkuu saana na alishamaliza kaz yake mda,now ni creation za binadam tuu znaendelea,..kufa,magonjwa,ufahar,maisha,n.k..ni binadam tuu..God has no time for that,..he has bigger ushuz,huwez nielewa,Mungu aliweka natures call,ukiitaj ukiomba unapewa,na ndomana miujiza haipo tu kwa wakristo,hata muslim,hata hindus,hata budha kila m1 ana stor yake,hata wapagan wana miracles zao,..Mungu ni wa wote,so habar za Mungu kumhukum nan sjui nan,ni kukaririshwa vitab tuu,hakuna ukwel hapo,..Mungu kakuumba,ni mwema sana kuliko unavyodhani,na sio binadam awe na roho ya kisas,et umetenda dhamb dunian bas nenda kaumie moton,hahahah,biggest lie ever
 
Bas hyo kauli mwachie mungu,si binadam tumezoea kuombeana mema,..hata sku1 huwez taka au waza nduguyo aende mahal pabay,angekua mdogo ako au mama ako ungetoa kaul hyo???
 
Nimekufurahia saana.asante mkuu maxmizer
Binadam tumezoea kuombeana mazur.hyo kaul mwachie atoe mungu mwenyew,...,angekua mtoto ako au mama yako au mdogo wako ungetoa kaul hyo mbele za watu..ndomana nmesema walokole ni watu wa roho flan hiv wanazijua wao..
 
Binadam tumezoea kuombeana mazur.hyo kaul mwachie atoe mungu mwenyew,...,angekua mtoto ako au mama yako au mdogo wako ungetoa kaul hyo mbele za watu..ndomana nmesema walokole ni watu wa roho flan hiv wanazijua wao..
Napoleon me nakupenda saana ndugu yangu lkn kwann ujidanganye mwenyewe?kwann uombe uongo wakati unaujua ukweli na namna yakusema.hivi kwa akili yako unafikiri ukiwaombea mema km unavyo sema ndio utahesabiwa hakii??

~Mkuu unatakiwa uwe unawaza hadi nyuma ya pazia,hata angekuwa mwanangu wa kumzaa nae anatakiwa aende panapo stahili yy kukaa.ww huwezi kumpangia Mungu na na wala maombi yako hayawezi kumfanya Mungu abatilishe.

~Mungu hahongwi kwa maombi yako unayaona mema haaa huo ni ubatili na kujilisha upepo,
 
Bas hyo kauli mwachie mungu,si binadam tumezoea kuombeana mema,..hata sku1 huwez taka au waza nduguyo aende mahal pabay,angekua mdogo ako au mama ako ungetoa kaul hyo???
Km yy alikuwa hajiombei mema mkuu unafikir ww ndio utamuombea??km alikuwa hamchi Mungu unafikiri utakatifu wako utamuhamishia yeye?

~Neno la Mungu linapo kuja kwa din yoyote lipo hapo ili kuiponya nafsi ya mtu na kuzimu.hakuna mta anaye weza kumuokoa mwenzie baada ya kifo,si kwa maombi wala kwa maneno matamu.

~Chochote apandacho mtu ndicho atakacho vuna,mbingu ni sehemu takatifu ya Mungu na sio daladala kwamba kila mtu ataingia na kinachotupeleka mbinguni sio tiketi ya din wala ulokole ni UTAKATIFU.

~Na kama kwa dhana ya ukweli unasema walokole tunaroho mbaya.basi mimi nitakuwa nayo kubwa sana.maana nimeokoka na nampenda Yesu.
 
Nyi si ndo mnafufua watu mnasemaga?how abt that sasa,?nyi walokole ni waongo sana,..unasema huwez mwokoa mtu na kifo etc,na hapo hapo makanisan mnaamin wachungaj wenu wanafufua watu.hahaha

..halaf hujajib swal,nmekuuliz akiwa mtoto wako au mama yako,unaweza tamka hivyo kwenye public kua mungu amlaze mahala panapostahil,jib hili wacha maneno meng mlokole
 
Kwan ukiwaombea mema utapungua nin?..y r u so evil,ndo nilichosema,walokole wana roho flan hiv za uongo...we mwombee mema,..Mungu ndo ataamua..ila kwa custom zetu bnadam tunaombeana mema
 
Kumbe vita yako na walokole si ndogo.soma vizur nimekwambia hata angekuwa mwanagu wa kumzaa anastahili kulala mahali panapo stahili maana mm si Mungu na sina mbingu ya kumuweka wala sina mahali pa kitunza roho.

~Kuhusu kufufua watu hiyo ni namna mtu anavyotumiwa katka karama yake.
 
Kwan ukiwaombea mema utapungua nin?..y r u so evil,ndo nilichosema,walokole wana roho flan hiv za uongo...we mwombee mema,..Mungu ndo ataamua..ila kwa custom zetu bnadam tunaombeana mema
Shida ipo wap mkuu??yaani unanifanya nizidi kukupenda.yani hata nikifa mm au ww,unatakiwa/natakiwa nikae/ukae panapo stahili.

~Unakubali au unakataa lkn huo ndio ukweli.
 
Mbona unapingana na unachoongea mjomba,ulisema huwez mwombea mfu na huwez badili chochote,now unasema kua kuna karama za kufufua,so huyo mfu unamfufuaje bila kumwombea ,..kumbe unaweza badili matokeo ya kifo kwa kumwombea huyo mtu,sasa y usimwombee mtu mema?..ndo tatzo lenu walokole liko hapa,hamjielew
 
Kumuombea na kuomba ni vitu vi 2 tofauti.pale hivi unakuwa unamuombea mfu?au unaomba afufuke?

~Hicho unacho kifanya ww cha kuwaombea ndio shida.ila ukitaka afufuke na km unaimani yako thabiti kwa Mungu anafufuka maana pale unamuomba Mungu amrejeshee yule mtu uhai.
 
"Hakuna mtu anayeweza mwokoa mwenzie baada ya kifo iwe kwa maombi au kwa chochote"

Halaf tena unakubaliana na watu wanaofufua wenzao unasema ni karama,hahahah...ukiona kitu kina contradiction ujue kaandika binadam,ndomana mi naamin hiv vitab mnavyosema vitakatifu kaandika binadam,iwe bible,iwe quran,iwe budha iwe hindu.PERIOD
 
Una tatzo la uelewa mjomba,na ndo madhara ya kukaririshwa na mchungaj haya,..asee mi siwez bishana tena nawewe maana nmeona kuna kitu unamiss kikubwa,..na ndo tatzo kuubwa watu wanapindisha saana maneno na maana za haya maandiko,..

Haha,et "kumuombea na kuomba ni vitu viwil tofaut"..kwan hayo maomb yote una ya address kwa nan?...walokole bwana,maneno meeeng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…