Tanzia: Team Diamond, Nevvo Msafi na Platnumzmond wafariki dunia

Haya mambo ya team huwa yanasababisha makafara sana
 
Mm ninauelewe kuliko ww rafiki,halafu unabisha vitu ambavyo vipo wazii ila unataka mashauri yako ndio yasimame.2Timotheo 3:7.

~Sawa mkuu vile unaona ninamapungufu nimekubali,Mungu atanisaidie ila ukweli utabaki pale pale,na hauta jipinga kamwe.

~Vyote vitapita lkn neno litasimama
 
[emoji106]
 
Sijui umeandika nn sbb sijaelewa ila jamaa kusema mahali panapostahili Mbona ipo waz Muishi Mungu tutasema uwekwe panapostahil na Muishi shetan pia uwekwe panapostahil punguza Papara jamaa yupo sawa tu taman nawe kupata wokovu usiwe kama wafilisti jina la Yesu ni tamu mkaribie upate uzima
 
Binadam tumezoea kuombeana mazur.hyo kaul mwachie atoe mungu mwenyew,...,angekua mtoto ako au mama yako au mdogo wako ungetoa kaul hyo mbele za watu..ndomana nmesema walokole ni watu wa roho flan hiv wanazijua wao..

Kuishi kwa mazoea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] ndo yanayotupeleka kutotii sheria za Mungu uzinzi,uasherati, kuabudu sanamu , waganga yote mazoea hayo yaepuke mkuu Mungu anatupenda sana mpokee Yesu uone atakayokuonyesha iman tu
 
Bas hyo kauli mwachie mungu,si binadam tumezoea kuombeana mema,..hata sku1 huwez taka au waza nduguyo aende mahal pabay,angekua mdogo ako au mama ako ungetoa kaul hyo???
kwani hiyo kauli imeegemea sehemu gani?,motoni au peponi?
 
Na hata huko kanisani unaweza usiingie.

Saa ya kufa kwangu unijalie kifo chema ee Mungu wangu.
 
Yani kijana unajitanabaisha kama team diamond? Yani ukifa ukumbukwe kwa kuwa team diamond? Hiyo ndiyo purpose yako hapa duniani? Hiyo mdiyo faida ya uwepo wako chini ya mbingu? Huo ndio mchango wako to humanity?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…