Tanzia: Team Diamond, Nevvo Msafi na Platnumzmond wafariki dunia

Hivi hao na uteam zao sjui team kiba na daimond Hvi huwawanalipwa au wanajitolea

Ova
 
Binadam tumezoea kuombeana mazur.hyo kaul mwachie atoe mungu mwenyew,...,angekua mtoto ako au mama yako au mdogo wako ungetoa kaul hyo mbele za watu..ndomana nmesema walokole ni watu wa roho flan hiv wanazijua wao..
Umetoa mapovu mengi sana lakini ukweli wenyewe ni binadamu ukifa unaenda sehemu unayostahili na sio mahali pema peponi...unachofanya wewe umemuita mwenzako mnafiki lakini kwa mtu muelewa ulipaswa wewe ndo uitwe mnafiki...manake wewe unaogopa kuusema ukweli sasa unafunika ukweli kwa kutumia faraja
 
Yani kijana unajitanabaisha kama team diamond? Yani ukifa ukumbukwe kwa kuwa team diamond? Hiyo ndiyo purpose yako hapa duniani? Hiyo mdiyo faida ya uwepo wako chini ya mbingu? Huo ndio mchango wako to humanity?
Mbona wewe ni Lipumba damdam?
Ebooo
 
Hata mimi nahisi ni SADAKA tu hiyo...RIP VIJANA.
Hizi TEAM HIZI[emoji22][emoji22][emoji22]
Hakuna cha sadaka wala nini,Phillipo alikua anaendesha gari speed sana....tulishamuinya mara nyingi tu,nakumbuka kuna siku nilimuambia hii Vista usipoangalia inaeza kua kaburi lako...yametimia leo!!

Hata chanzo cha ajali ni Over Speed....aliovertake semitrailer na akakutana na semi nyingine uso na uso
 
Kafara yake ndo ilipangwa iwe ivo
 
Hakuna atakae kuelewaa.. Wametanguliza chuki kama chuchu za saa6..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…