TANZIA: Uongozi wa Shirikisho la viwanda Tanzania(CTI), unatangaza kifo cha Mkurugenzi wao Mstaafu, Hussein Kamote

Kama huu ugonjwa umekukuta in your 50s and above, halafu una maradhi mengine yanayokusumbua hakika jihadhari. Sote tujihadhari lakini those above fifty MUST take more precautions.
 
HATIMAE mwili wa Mzee Hussein Kamote umeruhusiwa kuchukuliwa na ndg zake kwa ajili ya taratibu zote za mazishi baada ya serikali kujiridhisha kuwa hakufa kwa ugonjowa hatari wa CORONA, Mzee Kamote alifariki majuzi kwa ugonjwa kisukari akiwa nyumbani kwake Chanika jijini Dar na anatarajiwa kusafirishwa Leo jioni kwenda Tanga kwa mazishi

Bwana ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LAKE lihimidiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Benki zinaweza kucollapse na fedha za watu chukua hilo wazo
Mimi nimetoa savings zangu wasiwasi akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…