latentspace
Member
- Apr 14, 2020
- 19
- 40
Tujiandae kisaikolojia kuwapoteza wazee (55yrs and above) katika hii vita dhidi ya korona. ukweli unasifa ya kuwa mchungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni wale maarufu...Bado nasikia Arusha Kuna reo au deo kafariki kule morogoro naibu meya kafariki mtwara mkuu wa wilaya mafia mbunge
Ukiona hivo jua umezeeka/umri umeenda
Mr Sengo, naibu meya Morogoro(mmiliki wa songo security)Kwahio ndani ya masaa 24 tumepoteza Watu wanne Yule DC wa Kusini, Mzee Kificho, Mzee Kamote na Jaji Kakwima
Wewe ngoja tu zitakuja Tanzia Sabini kwa siku muda si mrefu
yani mkuu leo toka asubuhi tayari nimesoma tena 5Wewe ngoja tu zitakuja Tanzia Sabini kwa siku muda si mrefu
Mimi hapa mtaani nimesikia mayowe ya msiba nimewapigia wanasema kaka yao kavutayani mkuu leo toka asubuhi tayari nimesoma tena 5