dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,502
- 3,487
Wale wanaomfahamu Zephania Musendo, alikuwa Mwanahabari Mwandamizi na Mhariri mkuu TSN na mwishoni nadhani alikuwa MCT.
Amefariki dunia wiki iliyopita Kawe Dar Es Salaam na kuzikwa na Serikali,
Mei 17, mwaka 2005 alifungwa Miaka Mitano katika gereza la Keko kwa kupatikana na hatia ya kuomba na kupokea rushwa. Tarehe 18 Sept 2008 aliachiliwa huru gereza la Mahabusu Mkuza mkoani Pwani. Hadi anafariki Dunia, hajawahi kubaliana na huku hii.
Wakati akiwa Gerezani, alikuwa akisumbuliwa na Magonjwa ya Kisukari pamoja na Presha. Alikuwa akitibiwa katika Hospitali ya Tumbi na kuandikiwa na daktari awe anakula mayai,maziwa na mboga za majani lakini aliporudi gerezani hakupata vitu hivyo hadi pale familia yake ilipoamua kumuwekea bili ya maziwa kutoka katika Ng’ombe gerezani hapo.
RIP