Tapata wapi mtura bomba hapa Dar?

Tapata wapi mtura bomba hapa Dar?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
Hii kitu ni tamu sana, Arusha na Moshi ni wataalam mno wa kutengeneza hii kitu lakini kwa Dar huwa ni ngumu kupata mtura, je kuna mwenye ufahamu wa hili?
 
Back
Top Bottom