Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
this is serious now
kuna watu 'wameshalizwa tayari'?
this is serious now
kuna watu 'wameshalizwa tayari'?
pole bro
nani huyo tumchape?
nataka kukutapeli, uko tayari?
Akisoma atajiju. No naming names.
hawezi filisi bahari
dawa ya deni kulipa, vinginevyo ni kujiharibia tu.
Hadi wewe unatapeliwa na watoto wa kike?
duh! hii mitandao ina mengi
Hahahaaaa imeandikwa wapi wa kike siyo matapeli?