Tapeli tapeli

Kelele zote hizi usikute ni vidola tu.
Kumbe mnakamulika eheheee!! ngoja nifunguwe ID yangu ya kike na Avatar ya makalio ya haja mtanasa tu,

Hakuna aliyekamulika hapa wewe.
 
Sasa kwanini msitumie njia ile ile ya kuwasiliana wakati mnaazimana hizo 'fyekeo za majani'.

Au ndio mafumbo?
 
NN i hear you big time .... it is a common game here
 

Amekula hajalipa nini????

Duuuuuh noma kweli utapeli!!!
 
Hii vitu imekuwa too much.... Itafika mahari kilamtu atakufa kivyake vyake
 
mwee...wengine tumetapeliwa mapenzi.....tumeahidiwa ndoa....tumeingizwa mjini.....sina hamu.....
Mbona nimeambiwa wewe ndo umefanya utapeli mpaka kijana wa watu kaingia mitini?
 
Kwani hua inakuaje mpaka inafikia hatua unamuamini mtu uliyekutana nae kwenye mtandao jamani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…