Kwani hua inakuaje mpaka inafikia hatua unamuamini mtu uliyekutana nae kwenye mtandao jamani??
hivi mnajua maana ya mitandao?
hata college ni mtandao
kazi ni mtandao
daladala ni mtandao
ndege ni mtandao........
binadamu woote tupo kwenye mitandao
sio mpaka uje jf na facebook ndo ufikiri upo kwenye mtandao
ukifanya kazi muhimbili,huo ni mtandao
anaesoma udom yupo kwenye mtandao tena unaweza ukuta wa UDOM mtandao wake una watu weengi kuliko wa jf
get it...
i meant mitandao ya kijamii kama JF,FB,Twitter etc.
Sasa kwanini msitumie njia ile ile ya kuwasiliana wakati mnaazimana hizo 'fyekeo za majani'.
Au ndio mafumbo?
mwee...wengine tumetapeliwa mapenzi.....tumeahidiwa ndoa....tumeingizwa mjini.....sina hamu.....
Kwani hua inakuaje mpaka inafikia hatua unamuamini mtu uliyekutana nae kwenye mtandao jamani??
mwee...wengine tumetapeliwa mapenzi.....tumeahidiwa ndoa....tumeingizwa mjini.....sina hamu.....
Khaaaaa! Umenikumbusha sekandare skuli. Form one akithubutu kumkopesha form foo, basi asisubutu kuja kudai...Mi kuna dada mtaani kwetu aliwahi kunambia kua
akikopeshwa hela na mwanaume nisawa na kupewa,
She cannot pay back! Ikibidi bora walipane in kind...
Unajifanya wa maana sana kwenye mabandiko yako wakati ukweli wa mambo wewe ni tapeli tapeli.
Hiyo tabia ni mbaya sana kwa sababu mwisho wa utapeli ni aibu.
Watu wanakusaidia kwa nia njema kabisa kumbe wewe moyoni unawaona hawana maana. Unajiliza liza una shida, unaomba msaada. Msaada unapewa, baadaye unajifanya mjanja na kuingia mitini na mali za watu.
Hivi mama yako hakukupa mafundisho ya maadili mema wewe? Sasa limebumbuluka na utakiona cha mtema kuni.
Asa wewe unapendekeza tuwaamini tunaokutana nao wapi?..watu ndo hawa hawa walio mtandaoni ndo walio mtaani and everwhere.
Mi kuna dada mtaani kwetu aliwahi kunambia kua
akikopeshwa hela na mwanaume nisawa na kupewa,
She cannot pay back! Ikibidi bora walipane in kind...
Ulifanya utafiti? au personal records?she must be from Daresalaam..
atleast 60 percent wako hivyo
The Boss nimekuelewa sana tu na ndo maana sijabisha, definition ya mtandao ni pana na ndo mana kuna hata mtandao wa ngono. NN amesema huyo mtu anajifanya wa maana kwa mabandiko yake that means ni mtu wa humu humu ndani, ndo mana na mie nikabase kwenye hii mtandao wa Jf.hata UDOM ni mtandao wa kijamii pia...
mtaa wenu ni mtandao wa kijamii pia..
Asa wewe unapendekeza tuwaamini tunaokutana nao wapi?..watu ndo hawa hawa walio mtandaoni ndo walio mtaani and everwhere.
Ulifanya utafiti? au personal records?
Ha ha ha Preta bana unanichekesha................