Tapeli tapeli

Shemeji amenikataza kuingia sana eti nasahau majukumu mengine

pole.....shemeji yako yeye anataka nimsomee yaliyomo JF nimuadisie.....wangu na wako wapo tofauti kweli.....
 
Khaaaaa! Umenikumbusha sekandare skuli. Form one akithubutu kumkopesha form foo, basi asisubutu kuja kudai...

Halafu baada ya miaka ishirini
huyo anaemkanyaga (ashakum) anaishia kua taxi driver,
tena taxi ya tajiri, yeye analipwa per day,
na huyo anae kanyagwa (ashakum)
anakua lawyer kwenye international organization,
anafanya kazi as expat in the UK (true story)
 
pole.....shemeji yako yeye anataka nimsomee yaliyomo JF nimuadisie.....wangu na wako wapo tofauti kweli.....

Mmmhh haya tena mengine kweli bana nikipata muda mchana ndo nachungulia mdogo mdogo
 
haya mambo nimezoea kuyaona facebook,sasa huku tena eboo!!napita tu
 
Mkuu NN,
Wameshakukamatia tena wapi? Nilifikiri akishakamatwa Papa Msofe basi wataogopa. Kumbe bado wapo?
 
Mbona nimeambiwa wewe ndo umefanya utapeli mpaka kijana wa watu kaingia mitini?

weee....hivi kweli jinsi unanifahamu....naweza kufanya utapeli....? hebu sema ukweli......
 

Hiyo post inaonesha huyo mtu unamfaham hata kwa sura na kwa ukaribu zaidi na jf, sasa amekutapelije au ulikuwa humjui umekutana nae barabarani?? na kwanini usimwambie direct akajua unajua. hapa ukute hata jina lako la ukweli halijui atasoma atafikiri ni mtu anafikisha tu ujumbe kwa jamii. be stong and tell it to his or her face.
 
wala usijidanganye!unaweza vipi kumuamini mtu anayetumia fake ID na avatar ambayo sio yake sawa na mtu unayemfahamu physically mtaani kwenu??


Nadhani wewe ndo wajidanganya. Kutumia fake id si kigezo cha kutokuwa mwaminifu bali ni mtu analinda privacy yake, na pia kumfahamu mtu physically haina uhusiano na uaminifu kabisa; nakupa mfano wa kweli- 2009 kupitia mtandao niliwasiliana na mtu wa zambia ( sikuwa nimemuona na hata sasa sijaonana nae) akanisaidia kunipa information fulani pamoja na kunilink na watu fulani ambao wamenisaidia sana katika kazi zangu na nimeweza hata kusafiri nje kupitia huyu mtu ambaye mpaka leo sijaonana nae. Hivyo uaminifu ni tabia ya mtu, kuonana physically si guarantee ya uaminifu
 
Si mnajifanya mapedeshee sa unalalamika ni
 

Absolutely!!!
 
pole sana nani huyo tumsemee kwa baba
 

pole kwa kutendwa na tapelii umeongea kwa huzuni mungu atakulipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…