Taqwa bus operations

Huyu sio le mutuz le bahari angekuwa ameshaandika le bus la masafa marefu full le kiyoyozi mazafantaz hawawezi routes ndefu yo know naingiza hela we cheza na keyboard tu ha ha ha ha
 
acheni kuchafuliana.boda ipi utapita bila kulipia ushuru?

Na hiyo majuzi lilipokamatwa mbeya na mizigo yenye thamani ya takribani milioni 30!!! Ilikuwa imelipiwa ushuru, mkawakarisha abiria karibu masaa 6, mbeya!!!Haya mabasi ndio yanaongoza kwa kuingiza bidhaa kimagendo hasa mpaka wa tunduma.
 
hivi una akili gani?sisi tunawasafirisha abiria na mizigo yao.mambo ya mizigo hayatuhusu.sisi ni nauli tu.Umeelewa ww?
 
sasa hivi MAPUTO,NAMPULA,MPEMBA HADI SOUTH AFRICA.
 
mambo ya TRA hayatuhusu.Ni mwenye mizigo ndiye anaehusika na swala la TRA.
 
Earthmover ongea lugha fasaha kusandisha ndo nn?
 
Freight charge DAR NRB kiasi gani per unit weight(kg au ton)
 
nenda ubungo stendi utapewa huduma safi sana.
 
Especially Dar - Lubumbashi yaani mizigo inavojazwa pale Tunduma hadi kero kwa abiria wengine.
 
Hiv mmiliki ni nani? Ila nalikubari kwa ruti ndefu hana mpinzani le mutuz
 
Last edited by a moderator:
wewe ni le mutuz yuleyule au? akaunti fake, manake threads za le mutuz zinajulikana !
lemutuz hana points za kihivyo.
Huyu ni le mutuz feki! Le mutuz original hakujiunga JF mwaka huu aisee kama huyu le mutuz feki

hii inaonyesha ni jinsi gani W. J. Malecela anavyohusudiwa mpka mtu anaamua kuigilizia akaunti yake, big up Le Mutuz, Le Baharia, Le Mbebezzzzzzz, Le Big Show, King of All Bongo Social Media original.
 
Last edited by a moderator:
[COLOR=#ff0000 said:
le mutuz[/COLOR];11747041]nonemmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm

- Jamani naomba kuweka tahadhari huyu le mutuz sio mimi Original Le Mutuz Nation The King of All Bongo Social Media Network naona kuna mtu ameona ukitumia jina langu linalipa, so narudia sihusiki na huyu mtu kwa aina yoyote ile wala simfahamu U know, ndio kwanza nimeiona leo U knoe daaamn!!

Le Mutuz
 


Acha mambo ya kitoto wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…