Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acheni kuchafuliana.boda ipi utapita bila kulipia ushuru?
mabus mazito mno. hayana kasi wala comfortability
Especially Dar - Lubumbashi yaani mizigo inavojazwa pale Tunduma hadi kero kwa abiria wengine.nawasifu kwa kusafirisha mizigo haswa ya magendo,na kukwepa ushuru ila kwa abiria halifai maana kilaahali polisi wanalisimamisha na kujichukulia chao!pia mizigo ya madukani hujaa kwenye buti chini huko huko kkoo likija ubungo abiria hawana nafasi ya kuweka ma bag yao hivyo kukbanana nayo ndani ya bus!HIYO NI REALITY!!!
acheni kuchafuliana.boda ipi utapita bila kulipia ushuru?
Huyu ni le mutuz feki! Le mutuz original hakujiunga JF mwaka huu aisee kama huyu le mutuz fekiwewe ni le mutuz yuleyule au? akaunti fake, manake threads za le mutuz zinajulikana !
lemutuz hana points za kihivyo.
Ninawakubali sana hawa TAQWA kwenye mizigo .... yaani hakuna longolongo na ni waaminifu mizigo yangu inatoka Nairobi inafika on time na salama kabisa
[COLOR=#ff0000 said:le mutuz[/COLOR];11747041]nonemmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
- Jamani naomba kuweka tahadhari huyu le mutuz sio mimi Original Le Mutuz Nation The King of All Bongo Social Media Network naona kuna mtu ameona ukitumia jina langu linalipa, so narudia sihusiki na huyu mtu kwa aina yoyote ile wala simfahamu U know, ndio kwanza nimeiona leo U knoe daaamn!!
Le Mutuz
Acha mambo ya kitoto wewe.