Tar 02 Nov ni mahafali ya 5 Mwenge,wadau karibuni mtuunge mkono

TEMILUGODA

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2012
Posts
1,389
Reaction score
285
Mwenge ni chuo kikuu kilichopo mjini Moshi,tarehe 02 nov.2015 ni siku ya mahafali ya 5 ya chuo hiki,miongoni mwa wahitimu ni mimi,hivyo kwa niaba ya makamanda wote wanao hitimu napenda kuwaalika wadau wote kwenye sherehe hiyo na Munge atutie nguvu na baraka zake wahitimu wote ili tusafiri salama,tufike salama,tushiriki salama na turudi salama.
 
asante mkuu. Nitakuja kukuvalisha taji. Me naishi hapa mwenge, napakana na kwa mapadri wazee na kanisa la mwenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…