TEMILUGODA
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,389
- 285
Mwenge ni chuo kikuu kilichopo mjini Moshi,tarehe 02 nov.2015 ni siku ya mahafali ya 5 ya chuo hiki,miongoni mwa wahitimu ni mimi,hivyo kwa niaba ya makamanda wote wanao hitimu napenda kuwaalika wadau wote kwenye sherehe hiyo na Munge atutie nguvu na baraka zake wahitimu wote ili tusafiri salama,tufike salama,tushiriki salama na turudi salama.